Habari wadau wa Zee la udaku
Mimi na mume wangu tumefunga ndoa siku si nyingi , hapa tulipo tumechanganyikiwa sababu tumegundua sisi ni ndugu wa damu.....!!
Story nzima ipo hivi ...!! Mimi nimelelewa na mama angu tu baba angu alinikataa nikiwa mdogo na akahama nchi kwenda kuishi Marekani ...so mimi na mama hatukuwa na mawasiliano naye kabisa mpaka naolewa hata baba hakuusika katika shughuli...
Basi juzi kati amerudi Tanzania na akakutana na mama angu na mama akamwambia nishaolewa ...so akataka kuja kunisalimia mimi na mume wangu ...alivyofika tu nyumbani kwetu mume wangu akampokea kwa furaha zote na kumsalimia.

Baada
ya maongezi mengi BABA aliniita pembeni na kunieleza kuwa yule mume
wangu ni kaka yangu wa damu na alizaa na mwanamke mmoja baada ya
kuachana na mama yangu..
Hapa
nilipo nimechanganyikiwa sijui hata nifayaje...??? Sijui nimuelze mume
wangu ukweli...?? NAOMBENI USHAURI JAMANI SIJUI NIFANYE NINI....
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >