Habari Kali
Loading...

Nay wa Mitego AKIRI KUJIHUSISHA NA FREEMASON, ASEMA ANANGALIA KUINGIZA PESA KWANZA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >




Rapper Nay wa Mitego ambaye hivi karibuni alizusha maneno mengi kutokana na video ya wimbo wake  yenye mambo ya kutisha, amewajibu mashabiki wake kwamba hajali kuhusishwa na ufreemason ilimradi anaingiza pesa anayoitaka.

Akizungumza na kituo cha redio cha Victoria FM kilichopo mjini Musoma, Nay amesema amekuwa akipokea maswali mengi yakitaka kujua kama anajihusisha na jamii ya siri ya freemason kutokana na matendo yake.





Mimi sijali kama najihusisha na freemason, naangalia jinsi gani naingiza pesa  na huu ndio aina ya muziki wangu na kuna mambo makubwa zaidi yanakuja. Muziki wangu na maisha yangu kama yanahusishwa na freemason lakini ninachojali ni pesa tu, aliseMA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top