MAMA mmoja
mjane, Mwajuma Hamisi Lissu (42) ameteketea kwa moto baada ya nyumba
aliyokuwa amelala eneo la Kibamba Hondogo A maarufu Miti Mirefu jijini
Dar es Salaam, kulipuliwa kwa petroli usiku wa Agosti 24, mwaka huu.
Tukio
hilo la kusikitisha inadaiwa linahusishwa na ugomvi baada ya mama
huyo kuachana na ulokole na kujiunga tena katika dini yake ya zamani ya
Kiislamu.Akisimulia mazingira ya tukio hilo, mtoto wa pili wa mama huyo
ambaye hivi sasa ni marehemu aliyejitambulisha kwa jina la Charity
Jikole alikuwa na haya ya kusema:
“Mama
amelipuliwa na petroli. Baada ya moto huo kulipuka chumbani tulikuta
nyavu za kwenye dirisha la chumba alicholala zimekatwa, tunaamini
mlipuaji ndiye aliyekata nyavu hizo na kupitishia petroli.
“Mauaji haya siyo ya bahati mbaya bali yanatokana na mkono wa mtu kwani hata moto ulipokuwa unawaka harufu ya petroli ilikuwepo eneo hilo.
“Mauaji haya siyo ya bahati mbaya bali yanatokana na mkono wa mtu kwani hata moto ulipokuwa unawaka harufu ya petroli ilikuwepo eneo hilo.
“Mkasa
huu unatokana na ukweli kuwa mama yangu awali alikuwa Muislamu lakini
kutokana na matatizo yake ya kiafya alishauriwa na baadhi ya watu
kujiunga na maombi katika makanisa ya kilokole ili awe anaombewa tatizo
la presha.
“Baada ya kushauriwa aliamua kujiunga na makanisa hayo ya kilokole akiamini kuwa angeweza kupona.Waombolezaji wakishusha mwili wa marehemu kwenye gari kwa ajili ya mazishi.
“Baada ya kushauriwa aliamua kujiunga na makanisa hayo ya kilokole akiamini kuwa angeweza kupona.Waombolezaji wakishusha mwili wa marehemu kwenye gari kwa ajili ya mazishi.
“Mama
alikuwa ni mjane mwenye watoto watatu na baada ya kujiunga na walokole
amekuwa akisali katika makanisa manne tofauti.“Sisi kama familia
tunawatuhumu walokole kwa sababu hata baada ya moto huo, baadhi yao
hawakuja kusaidia kuuzima wala kutoa maji.
“Kwa kweli tulishangazwa na kitendo hicho na kuwaona ni watu wabaya sana kwetu.”
Hata hivyo, mtoto huyo alisema kifo cha mama yake kimekuja siku moja baada ya kufanyiwa sherehe ya kutoka katika dini ya kilokole na kurudi kwenye Uislamu.
Hata hivyo, mtoto huyo alisema kifo cha mama yake kimekuja siku moja baada ya kufanyiwa sherehe ya kutoka katika dini ya kilokole na kurudi kwenye Uislamu.
Mchungaji
aliyetajwa kwa jina la George Said ambaye anawaongoza walokole wa eneo
hilo, alipohojiwa na waandishi wetu alikiri kusikia tuhuma hizo.“Hata
mimi nimesikia tuhuma hizo lakini si za kweli hata kidogo na mpaka sasa
sijahojiwa na mtu yeyote au hata polisi kuhusiana na tatizo hilo,”
alisema mchungaji huyo.
Uwazi
lilipompigia simu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, ACP,
Camillus Wambura na kumuuliza juu ya tukio hilo, alikiri kutokea na
kuongeza kuwa uchunguzi unaendelea ili kubaini chanzo chake
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >