Inawezekana
wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia.
Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama
ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza kufanya mapenzi.
Wawili
hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini
lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa
kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa
kupitia sms ndo inasisimua zaidi!
Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano; Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love"

Maneno
haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko
alipo "Jogoo" awike kidogo! nayeye hawezi kubaki kimya lazima atajibu
mashambulizi, nna uhakika itafikia point kila mtu, Udenda Utamtoka kwa
nafasi yake.......!
Na kila mmoja akawa na hamu ya mapenzi na mwenzie! Tuyatumie Maneno hayo kwa nafasi zetu!
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >