KW/RB/8441/2014 imemshikilia
Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga kwa madai ya
kuzichapa na Miss Tanga 1997, Mona Faraja ambaye pia ni mke wake na
kumsababishia majeraha, Risasi Jumamosi lina ‘full’ stori.
Miss Tanga 1997, Mona Faraja anayedaiwa kujeruhiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga.
Ishu
hiyo iliyonyakwa laivu na majirani ilijiri usiku wa Jumatano iliyopita
maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar, nyumbani kwa Lundenga wakati wawili
hao walipokuwa wamepumzika baada ya mihangaiko ya mchana kutwa.Kwa
mujibu wa mtoa habari wetu, wakiwa wanabadilishana mawazo, mara simu ya
Lundenga iliita na ndiyo chanzo cha mtafaruku, upi huo?
TUJINGE NA CHANZO
Mtoa habari wetu alisema kuwa, tatizo lilikolea mara baada ya simu hiyo kuita mfululizo kwa namba ngeni iliyodaiwa kuwa ni ya ‘kichenchede’ cha pembeni huku bosi huyo akiwa hana mpango wa kuipokea.
Mtoa habari wetu alisema kuwa, tatizo lilikolea mara baada ya simu hiyo kuita mfululizo kwa namba ngeni iliyodaiwa kuwa ni ya ‘kichenchede’ cha pembeni huku bosi huyo akiwa hana mpango wa kuipokea.
“Mke
wa Lundenga alikuwa na shauku ya kujua nani anayepiga simu ya mumewe
muda huo na kwa nini mumewe haipokei lakini wakati akiendelea kujiuliza
ndipo ikaingia meseji ambapo inadaiwa Lundenga alikwenda ‘fasta’ kwenye
inbox na kuifutilia kwa mbali.
“Kitendo
cha kufuta SMS hiyo nacho kilitibua kabisa hali ya hewa, Mona akataka
kujua kwa nini mumewe alikuwa hataki kupokea simu na SMS iliyoingia
ilitoka wapi?
“Mona akawa mkali baada ya kuona haridhishwi na majibu ya mumewe ndipo alipoanza kutoa maneno yenye shutuma kwa mzee mzima ambapo naye uvumilivu ulimshinda kama binadamu wengine, wakaanza kutwangana,” kilisema chanzo hicho.

MKE AWAHI POLISI
Chanzo hakikuwa tayari kuweka ‘fullstop’, kiliendelea kumwaga mchele kwenye kuku wengi kuwa, baada ya mke kuona anazidiwa kwa kushushiwa makonde mazito yaliyomvimbisha uso, usiku huohuo alikimbilia Kituo cha Polisi Kawe, Dar kumripoti mumewe.

POLISI WAMKAMATA LUNDENGA
Mara baada ya mke kumaliza malalamiko yake kituoni hapo, saa chache baadaye polisi walifika nyumbani wakiwa na difenda ambapo walimchukua mlalamikiwa huyo hadi kituoni kujibu madai hayo.
“Polisi hawakuwa na maneno mengi, walipofika nyumbani walimkamata Lundenga na kwenda kumlaza kituoni kwa ajili ya hatua nyingine za kisheria,” kilisema chanzo.

MAJIRANI WANENA
Baadhi ya majirani waliolitambua sakata hilo walionesha kushangazwa huku wakimhurumia Mona ambaye alikuwa ameumia usoni, hususan mzunguko wote wa jicho la kushoto.
Baadhi ya majirani waliolitambua sakata hilo walionesha kushangazwa huku wakimhurumia Mona ambaye alikuwa ameumia usoni, hususan mzunguko wote wa jicho la kushoto.
MKE AINGIWA NA HURUMA
Wakati gazeti hili likiwa katika hatua za mwisho kuelekea mitamboni, Mona alidaiwa kuingiwa na huruma kwa kitendo cha kumlaza mumewe kituoni hivyo alikwenda kwa lengo la kumfutia mashitaka.
Wakati gazeti hili likiwa katika hatua za mwisho kuelekea mitamboni, Mona alidaiwa kuingiwa na huruma kwa kitendo cha kumlaza mumewe kituoni hivyo alikwenda kwa lengo la kumfutia mashitaka.
“Mke
alimuonea huruma mumewe licha ya kupewa kipondo maana wamedumu kwenye
ndoa kwa zaidi ya miaka 10 sasa, si mchezo. Alikwenda Kawe kufuta kesi
lakini polisi wakamkomalia kwamba ishu lazima ifike mahakamani,”
kilisema chanzo.
Mwandishi
wetu alifika kituoni hapo na kukuta polisi na Mona wakiendelea na
mazungumzo lakini hadi tunakwenda mitamboni, Lundenga alikuwa bado
anashikiliwa kituoni hapo.
MKE WA LUNDENGA
Juzi, Risasi Jumamosi lilimpigia simu Mona kwa lengo la kutaka kumsikia anasemaje kuhusu madai hayo, lakini baada ya maelezo marefu ya mwandishi, alikata simu na baadaye kuizima kabisa!
Juzi, Risasi Jumamosi lilimpigia simu Mona kwa lengo la kutaka kumsikia anasemaje kuhusu madai hayo, lakini baada ya maelezo marefu ya mwandishi, alikata simu na baadaye kuizima kabisa!
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >