JUMBA lililokuwa limeandaliwa kwa ajili ya washiriki wa shindano la Big Brother Africa (BBA) 2014 limeteketea kwa moto jana eneo la Sesani Studios jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini.
Kuteketea kwa jumba hilo kumesababisha uzinduzi wa shindano hilo kwa mwaka huu kusogezwa mbele tofauti na awali ambapo ulitarajiwa kufanyika Jumapili ijayo ya Septemba 7, mwaka huu.
Katika taarifa iliyotolewa na waandaaji wa shindano hilo, M-Net na Endemol ni kwamba katika ajali hiyo hakuna aliyejeruhiwa na chanzo cha moto huo bado hakijafahamika huku uchunguzi ukifanyika kubaini chanzo chake.
Taarifa hiyo iliongeza kuwa kwa sasa linatafutwa jumba lingine litakapoendeshwa shindano hilo linalochukua siku 91.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >