Msemaji
wa Jeshi la Polisi, Advera Senso akizungumza na waandishi wa habari
(hawapo pichani), Septemba 3,2014 kuhusu kupiga marufuku watu wanaotumia
mitandao kinyume na taratibu.
Jeshi
la Polisi nchini limetoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao vibaya
ikiwemo kutuma ujumbe wa matusi, uchochezi, picha za utupu sanjari na
kukashifu viongozi wa Serikali, dini na watu mashuhuri.
Akizungumza
Dar es Salaam, Septemba 3,2014 Msemaji wa Polisi, Advera Senso alisema
kuwa tayari baadhi ya watu wameshakamatwa na kufikishwa mahakamani
kujibu tuhuma hizo na wengine wanaendelea kuhojiwa.
"Kumejitokeza
tabia kwa baadhi ya watu kutumia mitandao ya kijamii na simu za
kiganjani kinyume na malengo yaliyokusudiwa kwa kusambaza taarifa za
uchochezi, kashfa,kuchafua viongozi wa Serikali."Wengine wamekuwa
wanasambaza picha utupu ambazo hazina maadili, hali ambayo ni kosa la
jina, ingawaje mwingine anaweza hasijue kuwa kufanya hivyo ni kosa
lakini sheria haitamuacha, alisema.
Senso
aliendelea kubainisha kuwa kuvunja kutofahamu sheria kwa kutoifahamu si
sehemu ya kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria, atakabainika kutenda
kosa hilo bila kujali anaifahamu sheria au la, atachukuliwa adhabu
kali.Alisema oparesheni ya kuwabaini wanaosambaza ujumbe zinaendelea
nchi nzima kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
kwa lengo la kuwakamata waharifu wa aina hiyo.
Aliongeza
kuwa hatua hiyo pia inawatia hatiani wale wote wanaotumia mitandao
kufanya utapeli na kujipatia kipato kwa watu mbalimbali nchini sanjari
na blogs zinazosambaza picha chafu ambazo ni kinyume na maadili."
Wapo
baadhi ya watu wanatumia mitandao ya simu kutapeli watu na kujipatia
kipato, hivyo nao ni sehemu ya waharifu wanaotafutwa na jeshi la polisi
na yeyote atayekamatwa hatua kali zitachukuliwa dhidi yake," alisema.
Hivyo
alisisitiza kuwa Jeshi hilo linatoa onyo kali kwa watu kujiepusha na
uharifu huo, na kuwataka wale wanaotumiwa wa aina hiyo kutousambaza kwa
wengine bali waufute.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >