STAA wa
muziki wa Mnanda Bongo aliyewahi kutamba na Wimbo wa Kazi ya Dukani,
Dogo Mfaume (pichani chini)anadaiwa kumtelekeza mama yake mzazi, Flora
Nathaniel (60), mkazi wa Chanika, Ilala jijini Dar ambaye amekatwa miguu
kufuatia kukumbwa na ugonjwa wa Kisukari mwaka 2011.
Kwa
mujibu wa majirani, mwanamke huyo aliyewahi kuwa nesi katika Hospitali
ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa miaka 26, amekuwa akiishi kwa shida
kufuatia ulemavu alionao lakini mtoto wake ambaye ni Dogo Mfaume hajali,
haendi kumwona wala kujua nini kinaendelea.
Dogo
Mfaume alipotafutwa kuulizwa kuhusu hali hiyo alisema: ”Kusema ukweli
uwezo sina, hali ya mama inaniumiza kichwa lakini si kwamba
nimemtelekeza bali nashindwa. Watu wenye uwezo wanaoguswa na hali ya
mama wajitokeze kumsaidia.”
Masaibu
ya mama huyo yaliandikwa kwa undani kwenye Gazeti la Uwazi ambalo ni
ndugu na hili Toleo la Agosti 26-Septemba Mosi, mwaka huu akimwomba Rais
Kikwete na Watanzania wamsaidie kwani maisha yake ni magumu. Aliomba
msaada upitie kwenye namba ya simu 0755 216 865.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >