watakaotumbuiza kwenye uzinduzi wa msimu
mpya wa shindano la Big Brother Africa
utakayofanyika Jumamosi hii, September 7 nchini
Afrika Kusini.
Akizungumza na bongo5 leo, meneja wa staa
huyo, Babu Tale amesema Diamond atarejea leo
akitokea nchini Ujerumani ili kujianda ya na show
hiyo.
“Diamond anarudi leo saa tano usiku atakuwa
kasharudi bongo kwa sababu weekend hii
tunaperform kwenye Big Brother launch kwahiyo
tunaenda South Africa. Tukitoka South Africa
tunakwenda Nairobi kwenye Coke Studio kurekodi.
Tukitoka Nairobi tunakwenda Ungereza kwenye
show ya African Unplugged, kwaHiyo ratiba yetu
ipo tight,” amesema Tale.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >