Habari Kali
Loading...

BAADA YA MTOTO MWANAAFA KUIBUKA MSHINDI TMT, WADAU WAHOFIA KUKUZWA MAPEMA NA MASHABABI WA BONGO MOVIE

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Baada ya mshindi wa mashindano ya kmtafuta staa wa movie bongo kumalizika na Mwanaafa Mwinzago kuibuka kinara wa shindano hilo kwa kutangazwa mshindi, wadau wa filamu nchini wamekuwa na maoni tofauti juu ya ushindi huo, wengi wamepongeza waandaaji wa shindano hilo kwa kujali kura za mashabiki na kutenda haki bila kujali umri wala mahala



atokako mshiriki huyo, hata hivyo wengi hawakusita kuonyesha wasiwasi wao juu ya hatima ya staa huyo ambaye kwasasa hata shule bado hajamaliza, mkazi mmoja jijini hapa amefunguka na kusema, huyu dogo shule ndo basi tena kashapewa hela hasomi tena, sasa hivi Mashababi wa bongo movie wataanza kumkuza mapemaaa  kama lulu, alimaliza kwa kusema hapa inabidi wazazi wa mtoto huyu wawe macho sana ikiwezekana hasiingie bongo movie mpaka amalize shule na kuwa mtu mzima, sio siku mbili tatu tunakuta kashaanza kupiga picha za utupu

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top