Msanii
wa muda mrefu katika filamu Bongo, Salome Urassa maarufu kama Thea,
amejinasibu kuwa kutovaa kwake pete ya ndoa haimaanishi chochote kwa
vile kitu hicho siyo muhimu.
Akizungumza
na paparazi wetu juzikati, Thea alisema awali alikuwa akivaa pete,
lakini bahati mbaya ilipotea na kupotea huko hakumaanishi kwamba ndoa
yake imepotea.
“Sitaki
kuamini kabisa kama ndoa ni pete, ninachojua ni kwamba siku zote ipo
moyoni, unaweza kuvaa hata pete kumi kidoleni, lakini kama haina amani
ni kazi bure tu, mimi sina lakini kama nina furaha kwenye ndoa yangu
hakuna neno,” alisema.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >