Watu
wawili akiwemo raia wa China na dereva ambaye ni mtanzania wamenusurika
kufa katika ajali iliyotokea maeneo ya Millennium Tower, Kijitonyama
jijini Dar es Salaam ikihusisha gari ndogo aina ya Opa.
Mashuhuda
wa ajali hiyo wamesema chanzo cha ajali hiyo ni gari la zimamoto
lililokuwa linatokea njia ya Mikocheni kuingia barabara kubwa.
“Gari
la fire lilikuwa kasi sana huku likipiga king’ora, kwa hiyo kujihami
dereva mwenye Opa akajikuta ameingia mtaroni, tunashukuru hakuna
aliyeumia,’’ alisema Robert.
Aidha
mtu mwingine aliyenusurika katika ajali hiyo ni Abdukarim ambaye
alikuwa ndani ya mtaro huo akisafisha. Kamera ya GPL ilishuhudia askari
wa usalama barabarani akiwa eneo la tukio huku break down likianza
kuitoa gari hiyo mtaroni.
Na Gabriel Ng’osha/GPL
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >