Mimi
ni kijana, umri wangu ni kati ya 25-30. Ni mhitimu wa chuo kikuu. Ni
msaarabu, najiheshimu na napenda maendeleo. Nipo kwnye mahusiano imara,
japo tupo mikoa tofauti na tupendana sana na girlfriend wangu &
recently tumeanza taratibu za utambulisho nyumban japo si rasmi..
hivi
karibuni nimepatwa na tukio la ajabu, kuna rafiki yangu wa kike way
back toka primary scul tulikuwa tunawasiliana kawaida as normal friends
lakin kumbe mwenzangu alikuwa na hisia za mapenz kwngu,,alipoona
simtamkii akaamua avunje ukimya, nikamwambia haiwezekan na sabab
nikampa..alilia sana akaomba 2fanye kwa siri coz hata yeye ana boyfrnd
bt yupo mbal bt nikabak na msimamo wngu..akaomba tuonane japo tuongee,
nikakataa lakin akaforce kuja home (nlikuwa peke yang) coz alikuwa
anapajua,,kafika
home hana jipya, alipoona nmegoma kabsa akaanza kunfanyia fujo(sexual
harassment) akavua nguo zote tufanye ngono, nikajikaza kiume
nikamvalisha nguo & nikamtoa nje, too bad nlisahau funguo za gate
ikabidi nirud ndan kumbe mwenzang ananfata nyuma pasi na kujua,,akaanza
fujo tena & this time nlizidiwa nguvu & we had sex, unprotected
sex..i was raped na mwanamke,,nlilia sana that day nikapanga safar kwnda
kumwambia my girl coz hatufichan ki2 (kwnye sim nilishindwa),,ucku huo
yule mwanamke akantext kuwa nikijaribu kumwacha atamwambia girlfriend
wngu, cjui alichukua phone no. mda gani,,ikabid niwe mpole..then
akanambia "too late" kuulza ana maana gan akawa anacheka..nlimwambia my
friend lawyer akacma kesi ngumu coz tukio lilitokea hme so ngumu kuprove
a rape..after 1 month nikaanza kupata symptoms za ajab, nikaenda kuchek
STI (ckupima HIV) nikawa sina bt nlipata UTI,, nkafuatilia zile dalili
na kugundua ni related na Acute HIV, nkaogopa sana, nikaanza kumkwepa
girlfriend wang kila akipanga safar natfta excuse, nia yangu itimie 3
months..
.i
knw knowldge z power & najua kila kitu kuhusu HIV japo si dokta,
najua i can live 30 years, najua the cure is near or imepatikana bt held
in disguise,berlin patient,missisipi baby(cured of HIV) bt God AM
FREAKED OUT, juz imetimia 3 months naogopa kwenda kupima, ntamwambia nin
girlfrnd wng kama nmeathirika, ataniacha,,i'l be alone...am not too
weak to kil myself or kill anyone..nmeamua kumsameh aliyenfanyia huu
uchaf nmemwachia Mung,,all my life nimeishi vizur(mbal na vishawish)
only God knows haya majaribu yana maana gani,,
Nimechanganykiwa
naombeni msaada wa mawazo, nmejiunga huku walau niitoe moyoni nipate
relief coz naogopa kuambia watu...I've got no one to talk to kuhusu hii
ishu.