BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Natamani
kama siku zingerudi nyuma na natamani nisingemjua Baba Mkwe wangu
kabisa maishani mwangu.Huyu mwanaume ndio amehariba maisha yangu
kabisa....
Najua
wengi wenu mnaweza makaniona mimi kama shetani na mtu asiye na moyo wa
kupenda na wa huruma. Ila ukweli ni kwamba mume wangu kwa moyo wangu
wote, lakini tangu nianze kutembea na baba yake, naona mume wangu
ahniridhishi kabisa...
Mimi
ni mwanamke mwenye miaka 25 na nimeolewa na mwanaume mwenye elimu ya
juu sana na mume wangu ana miaka 28 na baba mkwe wangu ana miaka 55.
Nina mlaumu sana mume wangu kwa sababu yeye ndiye chanzo cha hayo mambo
yote kutokea maishani mwangu, yaani ya mimi kutembea na baba yake mzazi(
ba mkwe wangu).
Kwa
sababu mume wangu alikuwa akirudi nyumbani amelewa sana, wakati
tunaanza uchumba alikuwa hana hii tabia kabisa lakini tangu tumefunga
ndoa, amekuwa anarudi nyumbani akiwa amelewa sana na ni usiku sana.
Mtu
pekee wa kumweleza matatizo yang alikuwa ni Baba mkwe. SIku moja mme
wangu hakurudi nyumbani kabisa na niliamua kumwita baba mkwe wangu
akaniambia yupo njiani anakaribia kurudi.
Alipofika
nikamuelezea matatizo yangu yote na mume wangu mpaka yale yanahusu
chumbani, sielewi nini kilitokea nilijikuta naanza kulia nikaelekea
chumbani nikamuacha yeye yupo sebuleni. Alinufuata chumbani na kuanza
kunibembeleza na kunikumbatia mpaka nikajikuta yupo juu yangu na
tukajikuta tunafanya mapenzi.
Tokea
siku hiyo kila siku nimejikuta nafanya nae mapenzi na natamani kumuona,
naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niliondokane na ili janga
jamani...
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Thursday, 21 August 2014