Habari Kali
Loading...

SERENGETI FIESTA YAFUNIKA MKOANI TANGA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Mshindi wa Serengeti Super nyota 2013, Edo Boy akifungua burudani.Young killer akikonga nyoyo za mashabiki katika Tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo.
Mr. Blue akiwapagawisha washabiki jukwaani katika tamasha hilo.Recho akitumbuiza katika Tamasha la Fiesta mkoani Tanga.Tunda Man naye akifanya yake.Khadija Maumivu akifanya maajabu jukwaani.Shabiki akimkubali jux kwa shoo aliyoionyesha....Linnah naye akilishambulia jukwaa.
Ruge akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Tanga kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta.Ruge akizungumza jambo na Mkuu wa Wilaya, Halima Omar Dendegu (kulia).
...Ni MO Music ndani ya usiku wa Tamasha la Fiesta mjini Tanga.Msanii wa Bongo Muvi Kajala akifuatilia shoo kwa karibu zaidi.Linnah akiwa na wanenguaji wake.Ommy Dimpoz akiwajibika mbele ya mashabiki zake.Madee akifanya makamuzi jukwaani.Vannesa Mdee akiliteka jukwaa usiku wa Fiesta mjini Tanga.Washindi wa Dance la Fiesta wakikabidhiwa zawadi Sh. milioni moja na Mkuu wa Wilaya, Halima Omar Dendegu.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top