BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete wakwanza kushoto akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi pamoja na
Mbunge wa Kongwa ambaye pia ni Naibu Spika Job Ndugai wakifurahia mara
baada ya Rais kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Mbande-Kongwa
16.5Km .

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa
wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi, Mbunge wa Kongwa ambaye pia ni Naibu
Spika Job Ndugai, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu
Profesa Juma Kapuya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi
Mussa Iyombe, akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa barabara ya
Mbande-Kongwa 16.5Km.

Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma pamoja na
kikundi cha ngoma za asili cha Kibaigwa kabla ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuhutubia
mamia ya Wakazi wa Kibaigwa.

Sehemu ya barabara Mbande-Kongwa 16.5Km ambayo ujenzi wake umewekwa jiwe la Msingi.

Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulia akizungumza na
Mbunge wa Kibakwe ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa George Simbachawene huku Mbunge wa Kongwa
ambaye pia ni Naibu Spika Job Ndugai akishuhudia kushoto.

Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akizungumza na
Mbunge wa Kongwa ambaye pia ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) pamoja na Makamu
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Profesa Juma Kapuya(kulia)
kabla ya uzinduzi wa barabara ya Mbande-Kongwa 16.5Km.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akizungumza na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli mara baada ya uzinduzi na ufunguzi wa
barabara ya Mbande-Kongwa 16.5Km.
Viongozi
mbalimbali kutoka Wizara ya Ujenzi pamoja na Taasisi zake wakimsubiri
Rais Dkt. Jakaya Kikwete kuzindua rasmi mradi wa Ujenzi wa Barabara ya
Mbande-Kongwa 16.5Km. Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,
Wizara ya Ujenzi
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
Kitaifa
Friday, 29 August 2014