Watuhumiwa Jaycee Chan (kushoto) and Kai Ko (kulia).
Staa wa filamu wa siku nyingi, Jackie Chan.
MTOTO wa staa wa filamu wa Hollywood, Jackie Chan aitwaye Jaycee Chan
anashikiliwa na Jeshi la Polisi jijini Beijing, China baada ya kukutwa
na gramu 100 za bangi.Jaycee Chan ambaye pia ni staa wa filamu kama baba yake alikamatwa Alhamisi iliyopita pamoja na staa mwingine wa filamu kutoka Taiwan, Kai Ko ambapo wote walipimwa na kubainika wametumia madawa ya kulevya aina ya bangi huku gramu 100 za madawa hayo zikikutwa nyumbani kwa Jaycee.
Kwa mujibu wa polisi nchini China, iwapo atakutwa na hatia, Jaycee anaweza kwenda jela miaka mitatu.
Jackie Chan amesafiri kuelekea nchini humo kuona jinsi ya kumnusuru kijana wake huyo
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >



