Mcheza
shoo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond,’ Moses Iyobo amefunguka kwa
mara ya kwanza baada ya kuenea uvumi wa kutoka kimapenzi na mcheza
filamu mahiri Bongo, Aunt Ezekiel kuwa hawezi kumuacha msanii huyo ng’o.
Mcheza shoo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond,’ Moses Iyobo (katikati).
Mcheza shoo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond,’ Moses Iyobo (katikati).
Akizungumza
Moses alisema kuwa kutokana na maneno mengi kuenea kuwa anatoka na
Aunt, ameona ni bora aweke wazi hisia zake kwamba ni kweli anampenda
msanii huyo na kuwa naye mbali itakuwa vigumu.
Mcheza filamu mahiri Bongo, Aunt Ezekiel
Mcheza filamu mahiri Bongo, Aunt Ezekiel
“Mengi
yameongelewa sana sasa naweka wazi kuwa nampenda sana Aunt. Unajua kama
mtu haukuwa na uhusiano naye mara unaanza kusikia vitu vya ajabu bora
tu ufanye kweli hata kama wanakusema wakuseme kihalali na si vitu
ambavyo si vya kweli,” alisema dansa huyo ambaye ni mume wa mwanamke
aliyefahamika kwa jina moja la Mwegi.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >