Habari Kali
Loading...

MASTAA BONGOMUVI WASUSIA HITIMA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
  Bango likionyesha picha na majina ya wasanii wa filamu na maigizo waliotangulia mbele ya haki lililowekwa katika viwanja vya Karimjee wakati wa Hitima hiyo iliyofanyika miki iliyopita.     Aliyekuwa mgeni rasmi kwenye hitima hiyo, Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuia ya Wazazi (CCM), Abdalah Bulembo akitoa neno wakati wa shughuli.    Baadhi ya waalikwa waliokuwa wamekaa meza kuu.
   Sehemu ya wasanii na watu wengine waliohudhuria shughuli hiyo.
    Mwenyekiti wa kundi la Bongo Movie Unity, Steve Mengere akitoa neno la shukurani wa watu waliojitokeza kwenye hitima hiyo.
    Watoto wa kiume walioshiriki kuimba Kaswida
    Watoto wa kike walioshiriki kuimba Kaswida
Stori: Mwandishi wetu
Wasanii mastaa wa filamu Bongo juzi kati walisusia hitima iliyoitishwa kwa ajili ya kisomo cha wenzao waliotangulia mbele ya haki na kufanya Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, kuwapiga dongo kuwa kama ingekuwa shughuli ya pombe na uvaaji wa nusu utupu, wangekuwa wengi.

Hitima hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Karimjee, Posta jijini Dar na kuhudhuriwa na baadhi ya wasanii na wageni wengine waalikwa, akiwemo Mwenyekiti Taifa wa Jumuia ya Wazazi wa CCM, Abdalah Bulembo.

“Nimetumia muda mwingi sana kuwataarifu watu kuwa leo kuna hitima ya kuwaombea wenzetu waliotangulia mbele za haki, lakini ushirikiano wao umekuwa mdogo ila ingekuwa sherehe ambayo ina bia, yaani vitu vya anasa watu wangekuja wengi hadi viti visingetosha,” alisema Steve Nyerere.

Naye mgeni rasmi, Bulembo aliwaasa wasanii wa Bongo Muvi waliohudhuria hitima hiyo kutowatenga ambao hawakuhudhuria, badala yake washirikiane nao na kudumisha upendo na umoja ili kuondoa  matabaka.
Baadhi ya mastaa waliohudhuria hitima hiyo Johari, Wastara, Odama, Nisha, Eshe Buheti, JB, Richie, Baba Haji, Cloud, Masanja Mkandamizaji, Mzee Chilo na Mhogo Mchungu.
Imeandaliwa na: Chande Abdallah, Mayasa Mariwata, Rhoda Josiah, Gladness Malya na Shakoor Jongo.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top