BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
I
was single once, but now i'm a wife and a mother. Nimekaa nikaona sio
vibaya iwapo nta-share tips kadhaa zilizonisaidia kumuweka baba watoto
sawa na mpaka leo hii sijawahi kuhisi wala kugundua kwamba anatoka nje
ya ndoa yetu, japo matatizo ya hapa na pale hayakosekani ila tumedumu na
bado tunaendelea na safari.
Unapokutana
na mwanaume akakutongoza/mwanamke akakukubalia kuna uwezekano mkubwa
kuwa amevutiwa na wewe kweli au kakutamani tu. Kitu ambacho watu hua
wanasahau ni kwamba hata mtu aliyekutamani tu unaweza ukampa
mwongozo/sababu mpaka mwenyewe akajikuta anakupenda kuliko ambavyo
angeweza kutarajia kwamba angewahi kupenda. Ndio maana hata wale waitwao
'bad girls/boys' hua wanajikuta wamenaswa na kunasika at some point.
1. Usiigize.
Maigizo waachie wasanii wetu, kuwa vile ulivyo kweli kimaisha/kitabia (isiwe mbaya)/mazoea n.k
2. Don't move too fast/act desperate.
Usitumie
ule muda wa mwanzo kabisa wa mahusiano yenu kutaka kujua "una malengo
gani na mie?" "utanioa?" "Kanitambulishe/nataka nikakutambulishe." n.k
Mpe nafasi ya kukusoma na kupata kujua wewe ni mtu wa aina gani, je
unafanania na mwanamke ambae angependa kuwa nae kwa muda mrefu, possibly
hata ndoani? Na wewe nawe tumia muda huo kufanya kitu hicho hicho.
3.Don't be too demanding.
Huyo
sio baba yako wala sio mume just yet, hivyo chochote atakachokufanyia
kinatokana na yeye kutaka/kupenda kufanya hivyo na sio kwakulazimika.
Haki hiyo hauna.
4. Kuwa na shukurani.
Learn to appreciate all that he does for you, that way ataona umuhimu wa hayo anayokufanyia, yawe makubwa au madogo.
5. Be real.
Badala
ya kufika kwake na kuanza kushangaa anaishije bila ya mfanyakazi wa
ndani huku ukitamba kuwa wewe huwezi, shangaa anawezaje weka nyumba yake
katika hali nzuri mwenyewe bila ya msaada. Hii itaonyesha fika wewe
utakua mke wa aina gani hapo baadae, kama ni wale wakukaa miguu juu huku
wakiagiza hata maji waliyoombwa na mume au la.
6. Learn to cook if you don't know how to.
Waliosema
"the way to a man's heart is through his stomach" hawakukosea.
Ukiachilia mbali wale watu wachache wanaokula ili kushiba wengi hua
wanajali ladha. Hiyo ndio hua inawaongezea hamu ya kula na kuwarudisha
nyumbani mapema pia kuwafanya wakumiss pale inaposhindikana kula chakula
chako . Kwakumwonyesha mwanaume kwamba hata tumbo lake unaweza
kuliridhisha unamwongezea sababu za kukuweka kwenye maisha yake.
7. Mheshimu.
Mpe heshima yake kama mwanaume wako ila usimwogope. Wengine wote usiwape nafasi kumfanya ajisikie kwamba haheshimiki.
8. Kuwa ngao yake.
Inapotokea
anakumbwa na matatizo yoyote yale onyesha utayari wa wewe kuwa pamoja
naye kwa hali na mali mpaka yatakapoisha. Pia usikose kumjali kumpa moyo
pale unapoona inahitajika.
9. Kuwa muwazi.
Kama
kuna mambo ambayo unajua moja kwa moja yatakuwa sehemu ya mahusiano
yenu (watoto/X mkorofi .nk) mweleze mapema ili aamue kama yuko tayari
kudeal nayo au la.
10. Usiwe na chuki.
Kikifika
kipindi cha yeye kukutambulisha kwa ndugu na rafiki zake onyesha
ushirikiano. Usionyeshe chuki wala kujiona kana kwamba wewe ndio wewe.
11. Give your all.
Kama na nyie mtaamua kuonjeshana tunda kabla (kama ambavyo wengi wanafanya karne hii) basi kuwa mbunifu, mtundu na usiwe mvivu.
12.Pendeza.
Vaa/onekana vizuri unapokuwa nje hata ndani pia. Usisahau kuzingatia/jali hisia zake kuhusu mavazi yako.
13. Onyesha interest kwa yale ayapendayo yeye.
Usiwe
mbinafsi kila siku unataka kusikilizwa wewe tu na story/mambo utakayo
wewe. Uliza/jua kuhusu yale anayopenda yeye mf. mpira/siasa.
14.Kuwa mtulivu.
Usiwe
mtu ambae kila saa simu yako inapigwa pigwa na wanaume wasio ndugu wala
marafiki wakaribu na wanaoeleweka. Discpline ni muhimu sana.
15.Usimzonge.
Usiwe
mmoja wa wale watu wanaofuatilia wenzi wao masaa yote wanapokuwa hawapo
pamoja. Mpe nafasi ya kuwa na marafiki zake bila kuhitaji kuzima simu
ama ku-ignore simu/text zako.
16. Mfurahishe/chekeshe.
Joke around sio muda wote yeye ndio awe wakukufurahisha wewe.
17. Jifunze kusamehe.
Mambo madogo madogo yanapoombewa msamaha samehe na uache yapite.
18. Mshirikishe Mungu wako.
Ukishaona kwamba huyo ndie basi mshirikishe yule unayemwamini ili upate mwongozo wa kiroho
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Friday, 22 August 2014