Mganga
wa jadi maarufu anaefahamika kama Dr. Manyaunyau amesema kinapofika
kipindi cha uchaguzi, wanasiasa wengi wakubwa humfuata kwa lengo la
kutaka awasaidie lakini siku zote wanafanya kwa kujificha sana.
Akiongea
na Times Fm, Manyaunyau amewataka wanasiasa hao kutofanya kwa siri kwa
kuwa anachokifanya yeye ni ufundi wa jadi ambao nchi nyingine
unajulikana mwanasiasa huweka wazi benchi lake la ufundi kwa kujigamba.
“Viongozi
kwa kweli wanatufuata inapofika wakati wa uchaguzi. Si unajua wasiwasi,
wanasema wasiwasi ndio akili. Kwa hiyo wanakuja lakini katika njia ya
kuangalia.
“Mambo hayo hapa Tanzania ndio watu wanayaona mageni kiongozi kwenda kwa mganga wa kienyeji, wengine wanakuja kwa kujificha.
“Mambo hayo hapa Tanzania ndio watu wanayaona mageni kiongozi kwenda kwa mganga wa kienyeji, wengine wanakuja kwa kujificha.
“Na mimi nawaambia ‘kwanini unajificha na wewe ni binadamu?’ Lakini nchi nyingine za Kiafrika unakuta President ana mganga wake kabisa. ‘Huyu ni kamati yangu ya ufundi’ anakwambia.” Amesema Manyaunyau.
“Sasa
watu wanashindwa kutuchukua sisi kutuweka Live kamati ya ufundi matokeo
yake wanajificha ndio unawapa maneno wakibahatisha kukujua. Kuwa tu
free ‘ebana mimi nina Dr Manyaunyau ndio kamati yangu ya ufundi. Husikii
mtu akiongea. Ila ukijifichaficha ndio unakipaisha kitu…” Ameongeza.
Akielezea
kile anachokifanya hasa wakati wa uchaguzi ili kumsaidia mgombea.
Manyaunyau amesema wanaweza kumsaidia mgombea aliyepungukiwa wafuasi
kupata wafuasi wapya kutoka kwa mwenzake.
“Inasaidia,
lazima kete wakati mwingine uzicheze kidogo. Akili za watu lazima
ucheze nazo pale. Kwa hiyo wakati mwingine…si unajua bana mbona wako
wengi na huku kwangu wamekuwa hivi?’ ‘Basi ngoja tumpunguzie tukuwekee
na wewe… ndio shughuli zetu hizo na inakuwa.”
Mganga huyo anaeleza kuwa wapo wanasiasa wengi waliomfuata ameweza kuwasaidia na wakafanikiwa kuzikusanya kura za wananchi.
“Wengi..wengine
hatuwezi kuwataja majina yao. Lakini wengi tumewapeleka mjengoni kule.
Serious nakwambia, lakini hizo ni taratibu zetu ambazo zipo.” Ameeleza.
Hata
hivyo suala la imani kama hii ni tata sana katika jamii na hakuna
anaeweza kuthibisha kuhusu nguvu hiyo ya ushindi katika uchaguzi na
ibaki kuwa ‘unaamini au hauamini’!
Ni sera bora au kuna nyongeza katika sanaa ya siasa? Kila mtu ana jibu lake.
Mwenyekiti
mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi-(NEC), Jaji Lewis Makame amefariki
baada ya kuugua maradhi ya moyo kwa muda mrefu.Jaji Makame alikuwa amelazwa katika hospitali ya AMI iyopo Mikocheni, Dar es Salaam tangu July mwaka huu hadi mauti ilipomfika leo Alfajiri.
July, 28 rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete alikwenda kumjulia hali msaafu huyo wa NEC katika hospitali ya AMI.
Jaji Makame alistaafu katika NEC tangu July, 2011. Mungu aialeze mali pema peponi, roho ya marehemu Jaji Makame. Amina.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


