Hamadi Ally aka Raisi wa Manzese aka Madee anayetamba na wimbo wake
”Ni shidaa” ikiwa pia ndiyo msemo wa Fiesta 20014, azungumzia mahusiano
yake ikiwa umri unakwenda na hajaweka wazi tangu kufariki mpezi wake
Tunda miaka kadhaa iliyopita.
”Ni shidaa kwa sasa ndiyo habari ya mjini kiukweli, wakati nabadilika watu wengi walisema nitabuma lakini nashukuru Mungu sana haijakuwa hivyo na kwa sasa kati ya wasanii ambao wanapiga show nyingi kwa mwaka mimi mmoja wapo.Pia kubadilika kwangu kumenifanya niwe na mafanikio kuliko miaka mingi nilipokuwa nafanya mziki wa silias Hip Hop nimejifunza kudhubuti bila ya kumuangalia yeyote yule.Ni kweli tangu kufariki kwa mpenzi wangu Tunda sijaweka wazi mahusiano yangu siyo kwamba sipo kwenye mahusiano hapana, ila itakapofikia wakati kila kitu kitakuwa wazi siyo kila kitu kiwe open kwa sasa nimekuwa so nafanya mambo huku nikiwa najua nina mtoto na nahitaji ajifunze vitu vizuri kutoka kwangu.Kuoa kwa sasa bado kuna malengo yangu bado hayajitimia unajua unapomchukua mtoto wa watu kuna mambo mengi sana na ndoa siyo kitu cha mchezo so bado nipo nipo sana.”

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >