Muigizaji
Elizabeth Michael aka Lulu anaendelea kuonesha hisia zake kwa Justin
Bieber na sasa ameeleza kuwa atakuwa anamuandikia ujumbe kila Jumatatu.
Kupitia
Instagram, Lulu amepost picha ya Justin Bieber ‘JB’ akiwa kifua wazi
akipiga kinanda na kuandika ujumbe akiwajibu wale wanaodai kuwa anaota
ndoto za mchana na kwamba hatampata.
“Mapemaaaa…Kabla
cku haijawa ngumu..! Haya ni hv wale wa kuandika ndoto za nn cjui…Mara
cjui huwezi kumpata na cjui kimepanda kimeshuka…msinijazie
comment😂😂😂Acha niwape ufafanuzi kdgo…ni hv Huyu Bwana swala ya
yy kupenda….nimemwachia awapende kina @selenagomez na wengine wote
anaotaka kuwapenda…ila swala la yy kupendwa Aniachie Mimi….yan hyo kazi
yangu….!!!
Sasa
Kama ni ndoto Wallah ctaki kuamka,Kama ni ufala…yani ninaukubali kwa
asilimia 150%,na mengine mengine yote…sasa Kama nakuchefua,Nina uhakika
Zile ndimu za @diamondplatnumz haziwezi kukutosha mana hiki kichefuchefu
co cha kuisha,bora utafute mbegu ya Malimao au mbilimbi upande kwako
kbsa….Na hili Zoezi ni endelevu…yani kila Jumatatu…Kama Mshahara
vile….!!! #MCM…… #Nilikuwepo”
..
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >



