BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Hata
kama kuna kisa kilichosababisha mgombane, usiruhusu hali hiyo itokee,
mwanamke fahamu ugomvi ndani ya nyumba ni mgeni wa kuingia na kutoka, ni
shetani huyu, usimruhusu kwako.
Pia elewa mwanamke kuwa ndoa ni kifundo cha mua,
unapoutafuna unakuwa mtamu, ikiwa wakati ule unapoutafuna na kuusikia
kuwa ni mtamu ndiyo wakati wa raha na starehe katika ndoa.
‘Bata’ zote unazokutana nazo siku za mwanzo wa ndoa yako zinatakiwa kuendelezwa siku zote, mtaambiana tukale bata huku au kule.
Mnaweza
kujikuta mnasema leo twende hotelini na mahaba yetu tukamalizie huko,
huo ndiyo wakati wa mua mtamu lakini kuna siku utakutana na fundo kubwa
katika mua na siku hiyo utabaini mgeni katika ndoa yenu na si mwingine
ni ugomvi.
Mgeni
huyo ni kama fundo la mua. Ikiwa wewe utaruhusu huo ugomvi uendelee kwa
muda wa mwezi, je ndiyo utamnyima mumeo unyumba kwa siku zote hizo?
Dini
zote mbili kunyimana unyumba ni dhambi. Lakini hata kisheria ni kosa
kubwa sana. Je, unataka mumeo aende wapi? akapate burudani kama
atakayopata kwako wewe mkewe kwa nani?
Kama
mwezi mzima wewe utakuwa ‘unamchunia’ eti kwa sababu amekuudhi na
hutaki kurudisha mapenzi na kumsamehe mumeo kosa linalosameheka unadhani
atafanya nini?
Kumbuka
kuwa hakuna kosa lisilosameheka kwenye ndoa na ulishakula kiapo
kanisani au kwa shehe kwamba mtavumiliana kwa shida na raha. Vitabu
vitakatifu pia vinasema msamehe aliyekukosea saba mara sabini!
Wanawake
mpo wengi wenye tabia hizo, mwanaume akikukosea kidogo tu fimbo ndiyo
hilo la kumnyima unyumba. Ndoa tamu bibi, asikwambie mtu. Watu wanakesha
wakizitafuta ndoa kwa waganga, makanisani na misikitini. Wengine
hospitali kwa kusafisha vizazi, wewe umepata halafu unaichezea? Acha
hizo.
Leo
mumeo unampa adhabu hiyo, atabebwa juu kwa juu huyo! Atakwenda kutafuta
burudani nje utapata faida gani? Halooooo shauri yako, utakuja kuchekwa
Heheeeeee, utalijua jiji!
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Saturday, 23 August 2014