BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

1.
Atakutega kupata attention yako. Hufanya mambo ambayo yatamfanya kuona
kama unampenda au lah! Mf wa mambo hayo ni kujifanya anaumwa na
kuangalia respond yako kwake ni kiasi gani unamjali na kiasi gani
utahangaika kwa ajili yake au
2.
Haoni aibu kugusa sehemu yako ya mwili. Msichana anayependa haoni aibu
kukushika mkono ama kukutomosa au hata kukumbatia. Kwa kufanya hivyo
hujua kuwa kwa asilimia kubwa hisia za kushikana kwenu kutamrahisishia
kazi ya kuwa na wewe
3.
Kucheka kwa nguvu hata kwa kitu kisicho chekesha endapo wewe
umezungumza. Mara nyingi ataonesha uso wa furaha hata kama si furaha ya
kweli
4. Wivu.
Hujisikia wivu anapokuona na wasichana wengine. Ukiwa unachart nao na ukiwaita majina ya kimahaba. Hapendi.
5
anakumbuka siku zako muhimu. Hukumbuka kama vile siku yako ya kuzaliwa
hatowez kuisahau kufanya ipite bila kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa
kama sivyo ukifaulu mtihani au chochote katika maisha yako atakuwa mbele
kukupongeza
6.
Eye contact anapenda kukuangalia machoni muda wote ambao mtakuwa
mkizungumza pamoja akidhani kuwa utaelewa ni kiais gani anakupenda
kupitia vile ambavyo anakuangalia.
Ila wengine huona aibu kuwatazama wavulana wanaowapenda si wote wana ujasiri wa kuwatazama wapenzi wao.
7.
Hupenda kukaa mmuda mwingi na wewe. Hawezi kupoteza hata sekunde
ukimuhitaji kwa mazungumzo. Anajisikia furaha kukaa na wewe muda mrefu
bila kuchoka. Anaweza akaacha kila kitu anachokifanya ili ajumuike na
wewe.
8.
Yupo tayari kuangamiza. Kama msichana anakupenda yupo tayari
kusacrifice. Ni kitu ambacho hakuna mtu ambaye anaweza akafanya kwa mtu
mwingine. Utaona vipi huyo msichana alivyo kwako na wa wengine. Yaani
yupo tayari yeye akose lakini wewe upate na kwa mwingine anaweza
akamwamba hana alichoombwa lakini akakupa wewe kama pesa na vitu
vingine.
9.
Anachukulia matatizo yako kama ni yake. Unapomueleza kuwa ana tatizo
anajali tatizo lako kama vile ni lake na hujisikia vibaya sana na
kuhuzunika na atafanya lolote ili aweze kukusaidia utoke katika hilo
tatizo.
10.
Mikwaruzano ikitokea katika urafiki wenu hayupo tayari kukupoteza kabla
hajakuambia anakupenda. Kwa kuwa anakupenda endapo ikatokea mikwaruzano
basi atafanya juu chini kuyaweka mambo sawa ili asikukose
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Tuesday, 19 August 2014