Mazishi ya ya aliyekuwa msaidizi wa Mchungaji kiongozi wa Kanisa la Efatha, Nabii Josephat Mwingira, marehemu Adson Philip Cheyo yakiendelea.
Kwa
mujibu wa vyanzo vya kuaminika, Cheyo alikuwa ametoka katika mojawapo
ya matawi ya benki mbalimbali zilizopo eneo hilo lenye shughuli nyingi
zilizojaa pilikapilika, akiwa na kiasi cha fedha zinazokadiriwa kuwa
shilingi milioni nane.
Baada
ya kuchukua fedha hizo, inadaiwa kuwa mkalimani huyo ambaye hutumiwa
zaidi na Nabii Mwingira anapokwenda kuhubiri nje ya nchi, alikwenda
sehemu aliyoegesha gari lake na kuingia, lakini kabla hajafanya
chochote, vijana wawili walitokea na kumtaka awape fedha alizoshika,
kitendo ambacho alikitii.
Lakini
pamoja na kuwapa fedha hizo, vijana hao walimpiga risasi mbele ya mke
wake na kuondoka bila kukamatwa, kitu kinachotia shaka kubwa juu ya
usalama wa eneo hilo lenye kutembelewa zaidi na watu wenye fedha jijini
Dar es Salaam.
Katika
ibada ya kumuombea marehemu wakati akiagwa tayari kwa ajili ya
kusafirishwa kwenda nyumbani kwao Mbeya, Nabii Mwingira alisema kifo
hicho ni pigo kubwa kwake na waumini wenzake, lakini wanaamini
kilichotokea ni mapenzi ya Mungu na wao watamuombea kila mara.
Waumini
wengine wa kanisa hilo walionekana kuwa na majonzi, hasa kutokana na
kuwa karibu na marehemu huyo, aliyezaliwa Januari 7, 1970.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >