BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ile
hatua ya U boifriend na U girlfriend ikiwa imepita na kuingia katika
hatua ya uchumba wa mahaba kedekede, dada yetu Diva alijikuta anamwaga
chozi baada ya watu mbalimbali kumtupia maneno kwamba amempendea King
Crazy Gk umaarufu wake ili abaki kupata KIKI Mjini.
Diva
alijikuta anatoa maneno makali ya hasira na kuangua kilio na kudai kuwa
hajampendea Gk umaarufu wake sababu yeye ni Diva ni maarufu pia hapa
Tanzania, hakuishia hapo alizidi kudai ya kuwa amechoshwa na watu wengi
kusema ana mahusiano na Gk ambae hana Pesa na ameachana na mwanaume
ambae anapesa na cheo kikubwa Tanzania.
Diva:Nimechoshwa kuulizwa
maswali ya Prezzo au mwanasiasa sababu huko siko tena na sina mahusiano
nao zaidi ya urafiki wa kawaida wa kuongea nao kama watanzania wenzangu
na pili amedai kuwa hana hisia zozote za kimapenzi na watu hao sababu
yeye yuko na Mpenzi wake na anafurahia mapenzi hayo na mume wake ambae
ni Mungu wa Muziki Tanzania.
Diva Binti mwenye mvuto na umbo la
kuvutia na mvuto wa sura ya babyface na macho ya duara alidai kuwa King
Crazy Gk ni Mtu mwenye kipato kizuri tu ila sio mtu wa kujionyesha au
kuishi maisha ya kujionyesha na ni mtu mtaratibu anaeishi maisha yake
alioridhika nayo na anatumia pesa zake kulipia elimu na kufanya mambo
yake na biashara zake binafsi tofauti na watu wanavyomfikiria. Diva la
Diva alisema kuwa Hakumpendea Gk Pesa au Umaarufu wake amempenda yeye
kama yeye na anachukia baadhi ya watu kumuingilia kimawazo maisha yake
ya mapenzi ambayo mashabiki wengi wameonekana kuvutiwa nayo kupitia
mtandao wa instagram.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI