BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Staa
wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ anadaiwa kupewa kipigo
kikali na mumewe, muda mfupi baada ya kukutwa akiongea kimahaba na simu
iliyodaiwa kupigwa na mwanaume mwingine.
Staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’
Tukio
hilo lilitokea nyumbani kwa msanii huyo, Mbezi-Beach, Dar, Julai 22,
mwaka huu ambapo Davina alikutwa akizungumza na mwanaume ambaye
haikujulikana mara moja ni nani ndipo mumewe alipomshushia kipigo
‘hevi’.
Kwa
mujibu wa chanzo kilicho karibu familia hiyo, mume wa Davina aliibua
timbwili hilo baada ya kumsikiliza kwa makini mkewe huyo na kugundua
anazungumza na mwanaume mwingine wakiahidiana kitu f’lani.
“Mumewe
alitega sikio kwa makini na kugundua alikuwa akizungumza na mwanaume,
akamsogelea karibu na kunasa mazungumzo yao, akamuoma simu mara moja,
Davina akaanza kujitetea ndipo mtiti ulipoibuka, mume akaanza kumpiga
mke ingawa hakumuumiza kiivyo,” kilisema chanzo hicho.

Baada
ya data hizo kutua kwenye Dawati la Risasi Jumamosi, mwanahabari wetu
alimvutia waya Davina ambaye alikiri kutokea kwa tukio hilo na kufafanua
kuwa hakuwa akiongea na mwanaume huyo kwa lengo baya zaidi ya maongezi
ya kikazi.
“Dah!
Umejuaje hii ishu ni ya kifamilia hivyo! Mmh...kweli ninyi ni noma,
anyway ishu ni kwamba, mume wangu alinifuma nikiongea na simu ya jamaa
mmoja ambaye alikuwa ananipigia ili anipatia fedha zangu ambazo zilibaki
baada ya kufanya tangazo moja linalohusiana na mambo ya Ukimwi.
“Wakati
naongea, yeye (mumewe) hakujua nini kinaendelea zaidi alikuwa akisikia
sauti ya mwanaume tu na majibu yangu kweli akajikuta amepaniki na
kunivaa akiwa ana hasira, si unajua mtu yeyote anayekupenda wivu huwa ni
kitu cha kawaida tu lakini nilimwelewesha baadaye akanielewa na maisha
yanaendele kama kawaida,” alisema Davina.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI