Habari Kali
Loading...

Dereva adai kuvunjwa Mkono na Askari Polisi huko Mbezi, Kimara jijini Dar.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
DEREVA mmoja wa basi la Princes Muna linalofanya safari zalke toka Mwanza-Dar, Bw. Hamidu Juma anadai kupigwa na Polisi Juni 26 mwaka huu huko Mbezi, Kimara jijini Dar.
Akizungumza na mwandishi wetu, Hamidu alisema “Basi letu lina madereva wawili, zamu yangu ilikuwa imeisha, tulipofika Kimara tulikuta foleni, nikaamua kushuka ili kutazama sababu ni nini, niliporudi nikakuta basi letu liko pembeni likiwa limezungukwa na askari, baadhi wakiwa na nguo za kawaida, walitaka kung’oa karatasi za bima na zinginezo nikakataa ndipo wakadai nawafundisha kazi, wakaanza kunipiga mpaka mifupa ya mkononi imepishana’’.
DEREVA
Aidha dereva huyo anadai hajavunjika ila mifupa imepishana na pia ana uvimbe kwa hiyo amepewa siku saba ndipo arudi kufanyia uchunguzi wa kina.
DEREVA1

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top