Staa wa kike anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki na filamu nchini, Baby Joseph 'Baby Madaha' amewatolea uvivu wasanii wenzake kwa kuifumua tasnia hiyo kuwa asilimia kubwa ya wasanii ni washirikina na wanalogana....
Msanii
huyo amewashutumu baadhi ya wasanii Bongo kuwa hawawezi
kufanya jambo lolote muhimu bila kufanya ushirikina na wengine
hawapendi kuona wenzao wakitoka kimaisha.....
Madaha
amefikia hatua ya kufumua ushu hiyo kwa madai kuwa hata
kufilisika kwake ghafla kumetokea baada ya aliyekuwa mpenzi
wake raia wa Kenya Joe Kairuki kupunguza nguvu ya kumsaidia
kisanii na kwamba ilitokana na rafiki zake kumpiga juju....
"Wasanii
wenzangu wameniloga.Walikuwa wanaona donge sana Joe alipokuwa
akinisaidia.Kiukweli wameniporomosha kabisa.Nilienda kwa mtaalamu
akanithibitishia hili.Hata hivyo nimepata mfadhili mwingine.Siwezi
kumtaja wasije wakanipiga kipapai tena," alifunguka staa huyo wa wimbo wa Summer Tyme.
Alisema
ushirikina umeifanya tasnia ya sanaa kudumaa kwa kiasi kikubwa
na kwamba imani hiyo imesababishwa na wsanii wasio na
elimu....
"Wasanii
wachawi wapo wengi tu.Yaani unamuona msichana mzuri au mvulana
mtanashati msanii kumbe anakesha kwa waganga.
"Wengi
wanasafiri sana kwenda mikoani kuloga wenzao.Sanaa imejaa
uchuro mtupu. Kama si kuelemewa na ushirikina basi tungekuwa
mbali sana.
"Ushirikina umesababisha pia fitina, majungu na visilani miongoni mwa wasanii. Hatupendani kwa sabab ya mioyo ya kichawi," Alisema Baby Madaha
"Ushirikina umesababisha pia fitina, majungu na visilani miongoni mwa wasanii. Hatupendani kwa sabab ya mioyo ya kichawi," Alisema Baby Madaha
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >