Msichana
aliyewahi kupigwa na msanii wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid
Benz’, Mwanaisha Sued ‘Aisha’ ametimkia nchini Afrika Kusini kuishi kwa
muda.
Paparazi
wetu alitia timu nyumbani kwa binti huyo Ilala-Bungoni, jijini Dar ili
kujua maendeleo yake ambapo mdogo wa Asha ambaye hakutaka jina lake
lichorwe gazetini, alijibu kwa kifupi:
“Aisha hayupo amekwenda Sauzi kwa muda, kuhusu alichokifuata mimi sijui. Ila hajambo na anaendelea vizuri.”
Aprili mwaka huu, Chid Benz alishtakiwa katika kituo cha Polisi cha Pangani, Ilala kwa kosa la kumshambulia Aisha ambaye aliwahi kuwa mpenzi wake.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >