MWANAFUNZI mmoja mkazi wa Jijini Mwanza Clinton Majembe ameuwawa kwa kupigwa na mama yake wa kambo Lupinda Kauli Mwalimu wa Shule ya Msingi Malunga mjini Kahama kwa kinachodaiwa kuwa kuwa mtoto huyo aliacha jiko jiko la gesi likiwa linawaka ndani.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Mtaa wa Majengo Noel Mseven ambapo tukio hilo lilitokea usiku wa kuakia Ijumaa kuu alisema kuwa Marehemu alikuwa ni Mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule moja mjini Bukoba.
Mseveni alisema kuwa Marehemu Clinton alikuja kumsalimia mama yake wakati wa likizo ndogo ya pasaka na hivyo kumkosa hali ambayo ilisababisha mama yake huyo wa kambo aliyekuwepo katika nyumba hiyo kupiga kutokana na kudai kuwa alikuwa amewasha jiko la gesi bila ya idhini yake.
Alisema kuwa Mama huyoa ambaye ni mtu wa matukio katika mtaa huo pia inasadikiwa pia aliwahi kmtishia mume wake kumuua na hivyo kusababisha kuukimbia mji wake mpaka kufikia hivi sasa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga Ernest Mangala amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kudai kuwa kwa sasa hayupo ofisi yupo nje kikazi na kuhaidi kulizunguzia tukio hilo pindi atakaporejea kazini hivi karibuni
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >