Habari Kali
Loading...

DIAMOND NI NOMA...!! 'NUMBER 1 RMX YA DIAMOND ILIVYOMPA SHAVU NCHINI UFARANSA ,SOMA HAPA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Screen Shot 2014-05-02 at 4.19.19 AM
Kwenye Top 10 ya muziki mkali wa Afrika ambayo hufanyika kila Alhamisi kwenye kituo cha TV cha Ufaransa ambacho kina mamilioni ya Watazamaji Afrika(TRACE TV Urban) May 1 2014 single ya ‘number one rmx’ Diamond ft Davido imeshika nafasi ya nne. 
Kwa zaidi ya wiki sita hii single imekuepo kwenye chati hizi za Trace Urban ambapo ilishika namba 1 kwa zaidi ya wiki mbili kwenye kituo hikohiko toka iachiwe rasmi January 6 2014.
Kwenye hiyo chati wiki hii number tatu imeshikwa na single ya 2Face ft T Pain, ya pili Aye ya Davido na ya kwanza ni ‘rands and nairas’ ya Emmy Gee ft Ab Crazy & Dj Dimplez.
Diamond amevunja rekodi ya kuwa msanii wa kwanza wa Afrika Mashariki kuingia kwenye chati hiyo na kushika nafasi ya kwanza ambapo kabla ilikua imezoeleka ni Wanigeria na Wasouth Afrika ndio wanaoongoza kwa kuishikilia.
Screen Shot 2014-05-02 at 4.19.33 AMKwenye Exclusive interview na mtandao mmoja nchini Kenya  Diamond alisema kingine alichogundua kwenye hii single ni ukubwa ilionao nchiniGhana kuliko hata Nigeria kwenyewe kwa kina Davido.
Mpaka sasa ‘number 1 rmx’ kwenye Youtube imetazamwa kwa zaidi ya mara milioni 1 na laki sita ambapo mpaka saa kumi alfajiri ya May 2 2014 ni watu 4991 walikua wameipenda kwa kulike huku 546 wakidislike.
Number 1 original ya Diamond ambayo iliwekwa kwenye mtandao September 2 2013 imetazamwa zaidi ya mara milioni mbili laki mbili na elfu 95 ambapo 5165 wamelike huku 618 wakidislike.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top