Producer Pharrell
Williams alishawahi kukiri kuwa alipata maumivu makali sana wakati
anafuta tatto alizochora wakati wa ujana wake na akajutia kitendo hicho.
Alikuwa muoga wa magonjwa atakayopata baada ya tattoo kufutwa na mionzi
mikali kwenye mwili wake inayoweza kusababisha saratani na magonjwa
mengine.
Angelina Jolie alibidi afute tattoo ya mpenzi wake wa awali Billy Bob aliyoichora wakati wako pamoja.
Huyu ni mwigizaji Matt" Damon alijichora tattoo kabla hajawa B list Super Star wa filamu marekani na kuamua kuifuta ili kujenga heshima zaidi.
Jamaa
aliweka midomo ya rapper Trina kwenye shingo yake wakati wako pamoja na
baada ya kuachana nae alibidi afute tattoo, Maumivu yake sasa.
Baada
ya kuachana na mke wake Jennifer Lopez, Mac Anthony alibidi afunike
tattoo ya jina la Jennifer na kitu kingine. Aliogopa maumivu ya kufuta.
50 Cent kashazoea kufutwa na kuchora tattoo zingine kwenye maisha yake. Akiwa na jambo jipya huongeza tatto anavyo jiskia.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >