
Mimi ninaitwa Aisha, nina miaka 27. Nina mchumba wangu ambaye ni fundi gereji na anaishi maeneo ya Manzese, mi nakaa Tandale. Tumedumu miaka miwili na kusema kweli tulikuwa tunapendana maana hadi kanisomesha kozi ya computer kwa mwaka mmoja sasa nina kazi yangu. Ila nimepata bahati ya mtende maana huyu bosi wangu ninayefanya kazi kwake, ametokea kunipenda sana na amesema nikimkubali, atafanya maisha yangu yawe kama ya malkia. Ahadi za huyu bosi zimefanya nianze kumpenda ghafla maana anatembelea RANGE ROVER kali kama ile ya Lady jay dee, yaani nahisi kuchanganyikiwa sijui nifanye nini? Hapa nilikuwa natafuta sababu ndogo ili nimbwagwe huyu mchumba wangu fundi gereji ila sijapata sababu. Naombeni ushauri wenu kwenye hili
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >