MALOVEE? Bosi
wa Top Band, Khaleed Mohamed ‘TID’ au ‘Mzee Mnyama’ na mtoto mzuri
kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Winfrida Josephat ‘Recho THT’,
wanadaiwa kuwa na uhusiano uliotafsiriwa ni wa kimapenzi, Ijumaa
Wikienda limeinusa.
Kwa mujibu wa chanzo makini, wawili hao
wamekuwa wakionekana pamoja sehemu mbalimbali huku wakidaiwa kupiga
‘mitungi’ kiasi cha kushindwa kuzificha hisia zao.
“Mbona ipo wazi, TID na Recho siku hizi
hawafichi kitu, tena wanapopiga mitungi ndiyo kabisa, mfano mzuri ni
juzikati walikuwa pamoja mjini Dodoma, waliponda raha kinomanoma,”
kilitiririka chanzo hicho.
Kama ilivyo ada, wanahabari wetu waliingia mzigoni kwa kuanzia nyumbani kwa Recho, Kinondoni, Dar, wakamkosa lakini badala yake, walipatikana mashosti zake wa karibu.
Kama ilivyo ada, wanahabari wetu waliingia mzigoni kwa kuanzia nyumbani kwa Recho, Kinondoni, Dar, wakamkosa lakini badala yake, walipatikana mashosti zake wa karibu.
“Recho kwa sasa anatoka na Mnyama na
hapa tunavyoongea yupo Njombe ambapo ametimka baada ya taarifa za yeye
kutoka na TID kuzagaa mtaani, halafu pia Recho siku hizi anapombeka sana
na tunahisi hata ‘mambo meupe’ anatumia,” alisema shosti huyo.
Baada ya kushibishwa data hizo,
waandishi wetu walitinga ofisini kwake THT, Kinondoni ambapo wanamuziki
wenzake walisema staa huyo ana muda mrefu hajafika kazini hapo pasipo
kutoa sababu za msingi.
Ijumaa Wikienda lilimpigia simu Recho, akafunguka:
“Kweli nakunywa pombe lakini si kiivyo watu wanavyonisema. TID ni mtu wangu kikazi wala siyo kimapenzi. Watu wamekuwa wakinishutumu kila ninapokuwa na mwanaume wanasema ni bwana’ngu kitu ambacho si cha kweli kama wanavyonizushia kuvuta bangi.
“Kweli nakunywa pombe lakini si kiivyo watu wanavyonisema. TID ni mtu wangu kikazi wala siyo kimapenzi. Watu wamekuwa wakinishutumu kila ninapokuwa na mwanaume wanasema ni bwana’ngu kitu ambacho si cha kweli kama wanavyonizushia kuvuta bangi.
“THT siendi kwa sababu nimesafiri, hapa
ninapoongea nipo Njombe. Nimekuja kutulia huku kutokana na maneno kuzidi
na watu kunipakazia uongo,” alisema Recho.
Kwa upande wake TID, alipopigiwa simu, alijitetea kwa kusema kuwa yupo na Recho kikazi na wala si vinginevyo.
“Dah...! Ebwana naomba uachane na hizo
habari za mapenzi, mimi ni mtu mzima nina mengi ya maendeleo ambayo
natakiwa nifanye,” alisema TID.
-GPL
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >