Habari Kali
Loading...

TAFADHALI USISHUKE BILA KUSOMA KAMA UNA MOYO WA HEKIMA, HURUMA NA BUSARA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


Dunia ina changamoto sana na maumivu yake pia.
Pichani ni watoto ambao wamekumbwa na njaa na magonjwa yatokanayo na kutokula chakula bora na sio kwa mapenzi yao hapana.
Chanzo ni vita zisizo na kikomo, hali ya hewa inayosababisha ukame na kutostawisha kitu.
Wengi wao familia zao zimewakimbia na wengine wamekufa na wao kujikuta wanahitaji msaada.
Hebu fikiria wewe leo una bahati gani kuwa katika sehemu isiyo na machafuko, vita, ukame njaa na kila aina ya matatizo?
Je wewe ni bora zaidi kuliko wao? Au wao wamemkosea Mungu kitu?
Fikiria ni mara ngapi unasaza chakula na kutupa bila kujali kesho itakuaje kwa sababu una hazina kubwa ya chakula eneo ulilopo?
Ndugu yangu lolote laweza kukutokea katika maisha yako na mambo yakabadilika na kuwa mabaya kuliko hawa watoto.
Mshukuru Mungu wako kwa kukupa maisha na uhai ulionao huku ukiwa unaishi kwa amani na furaha ukiwa na familia na marafiki wa kila aina wenye msaada kwako.
Comment neno Amen kumshukuru Mungu kwa Baraka alizo kubarikia na kasha share kuwaombea watu wote wasio na chakula na amani duniani Mungu awape unafuu katika mapito yao na kuwapa furaha na amani nafsini mwao.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top