Habari Kali
Loading...

SHIJA SASA ATAMANI NDOA NA WASTARA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > MSANII wa filamu Bongo, Deogratius Shija amefunguka kuwa anatamani sana kumuoa msanii mwenzake, Wastara Juma lakini anaamini kikwazo kitakuwa ni dini.

Msanii wa filamu Bongo, Deogratius Shija.
Akistorisha na paparazzi wetu, Shija alisema tangu kabla msanii huyo hajaolewa na aliyekuwa mumewe, Marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, alikuwa anampenda lakini bahati haikuwa yake hivyo kwa sasa anatamani ndoa na mwanamke huyo.
  Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma.
“Unajua natamani sana kumuoa Wastara ila sidhani kama atakubali kubadili dini kwani ni Muislamu haswa, kwa upande wangu siwezi kubadili dini kwa sababu nampenda sana Yesu. Ila ni jambo linalozungumzika,” alisema Shija.
Ijumaa lilifanya jitihada za kumtafuta Wastara ili kuzungumzia ndoto hiyo ya Shija lakini hakuweza kupatikana mara moja.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top