
Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’.
anayedaiwa kwamba ni mheshimiwa serikalini.Kwa mujibu wa vyanzo vyetu makini, Odama alijifungua kwa operesheni hivi karibuni kwenye Hospitali ya Kairuki jijini Dar baada ya kuwa kimya kwa miezi kadhaa kutokana na likizo ya uzazi ambayo ilimfanya asimame kuigiza filamu kwa muda.
Baada ya kunyetishiwa ishu hiyo, gazeti lilimtafuta kwa njia ya simu ambapo alikiri kujifungua mtoto wa kiume na kwamba anamshukuru Mungu kwani yeye na mwanaye wanaendelea vizuri.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >