Habari Kali
Loading...

NISHA BADO YUPO YUPO SANA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ ameweka wazi kwamba bado yupoyupo sana linapokuja suala la kuolewa.

Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’.
Akizungumza na paparazi, mwigizaji huyo alisema kuwa anatambua kuwa yeye kama mwanamke aliyetimia lazima atakuja.
kuolewa siku moja, lakini siyo hivi karibuni.
“Natambua mwanamke aliyetimia lazima aolewe, lakini kwangu bado niponipo sana jamani. Muda ukifika ndiyo itajulikana, lakini siyo leo wala kesho,” alisema Nisha.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top