Habari Kali
Loading...

MSANII BABY MADAHA HAELEWEKI KABISA...CHEKI HAPA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema anashindwa kumtathimini msanii wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha kutokana na kujitenga na wasanii wenzake.
Msanii wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha. 
Akifafanua kauli yake, Steve alisema mwanadada huyo anamshangaza sababu hajui yupo kundi lipi kwa kuwa kwenye Bongo Movie hayupo na wala hana kadi ya chama chochote akiwa kama msanii na mbaya zaidi hajitokezi kujumuika na wenzake.
“Hana kadi ya chama chochote na isitoshe anajitenga na wasanii wenzie, hahudhurii kwenye shughuli yoyote ile iwe ya huzuni au furaha, kiukweli simuelewi, abadilike,” alisema Steve.
Paparazi wetu alipomtafuta Baby Madaha kuzungumzia ishu hiyo alisema ana mambo mengi ya kufanya ndiyo maana huwa hashirikiani na wenzake, akipata nafasi atahudhuria.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top