Jamaa mmoja ambaye jina halikupatikana mara moja, alijikuta akipata aibu ya mwaka baada ya kunywa pombe na kulewa chakari na
Ishu hiyo ilitokea wiki iliyopita ambapo
paparazi wetu alibahatika kushuhudia laivu jamaa akijigeuzageuza kama
yuko kitandani kwake.Kufuatia tukio hilo, kibaka mmoja aliamua kumgeuza
dili mlevi huyo kwa kumsachi na kumchania mifuko yote ya suruali jambo
Wananchi wakifanya jitihada za kumuamsha.
lililowaudhi waliokuwepo jirani na kumng’ang’ania mwizi huyo kutaka kumshushia kichapo.“Samahani, msinifanye kitu chochote sitarudia tena, nimefanya kosa sana, naomba mnisamehe ndugu zangu,’’ kibaka huyo alijitetea.
“Ushukuru Mungu tunakufahamu wewe, ila hujafanya kitendo cha kiungwana kabisa, unaweza kufa unajiona hivihivi, wewe si una
Akiwa hajiwezi kutokana na ulevi uliokithili.
nguvu? Kwanini usifanye kazi kama wengine?’’ alihoji mmoja wa watu waliotaka kumpiga kibaka huyo.Mwandishi wetu aliamua kutafuta njia mbadala ya kumsaidia jamaa huyo wa gambe kwa kushirikiana na wasamaria wema ndipo maji
ya baridi yalipochukua nafasi kama huduma ya kwanza kwa kummwagia mwili mzima.
Baada ya kumwagiwa maji jamaa huyo alipata nguvu akaamka na kuanza kuangaza macho huku na huko.
Jamaa huyo alipoulizwa alikuwa akiishi eneo gani alijibu Ubungo, akapandishwa kwenye daladala iliyokuwa ikielekea huko.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >