Habari Kali
Loading...

LUIZA MBUTU AFIKIRIA KUIKACHA TWANGA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
MUIMBAJI mahiri na Kiongozi wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Luiza Nyoni Mbutu amesema kwa jinsi mambo yanavyokwenda katika dunia ya sasa, anafikiria kuachana na bendi hiyo na kuwa mama wa nyumbani tu.
Mwimbaji mahiri na Kiongozi wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Luiza Nyoni Mbutu
Akizungumza na Amani juzi jijini Dar, Luiza alisema imefika mahali anawaza kuwa mama wa nyumbani kwa sababu amegundua katika dunia mtu akiwa kiongozi hasa kuongoza vijana kama wa kwenye bendi hiyo changamoto zinakuwa nyingi katika maamuzi.
“Mimi ni kiongozi wa Twanga Pepeta, lakini nafikiria siku moja kuachana na bendi na kukaa nyumbani kulea wanangu.
Luiza mbutu akitafakali jambo
“Kuongoza vijana kuna changamoto nyingi sana. Umri wangu kwa sasa si wa kukutana na mambo ya vijana japokuwa mume wangu (Fariala Mbutu) anazijua changamoto hizo na kuzikubli,” alisema Luiza.
Luiza alianza kuimbia bendi hiyo mwaka 1999 na tangu wakati huo hajawahi kuhama na amekuwa nembo ya bendi nje na ndani ya nchi.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top