Habari Kali
Loading...

Hatari ya daraja Mbagala lililonyima magari kwenda mikoa ya kusini na ya kuingia Dar

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
 Mvua zinazoendelea kunyesha mikoa tofauti Tanzania bado zimeendelea kuleta madhara ambapo pamoja na taarifa ya Watanzania kadhaa kukosa makazi na wengine kupoteza maisha bado barabara na madaraja vimezidi kubomoka. Hizi picha ni za daraja la mto Mzinga ambalo ndilo linalounganisha Dar na mikoa ya kusini limeanza kumeguka kufuatia mvua iliyonyesha na inayoendelea kunyesha ambapo sasa Wasafiri wa kwenda Nachingwea, Masasi, Tunduru, Mtwara, Lindi na maeneo jirani wamekwama. Baadhi ya kampuni ambazo zinamiliki zaidi ya mabasi manne, zimekua zikifaulisha wasafiri toka kwenye mabasi yaliyokwama upande wa Mtwara kuingia kwenye basi lililo upande wa Dar na wa Dar kuingia basi la Mtwara ili safari ziendelee. Miongoni mwa wasafiri ambao wamekwama kusafiri ni pamoja na Tundaman ambaye alikua na show leo Maisha Club Mtwara.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top