Habari Kali
Loading...

DUDE Alizwa tena..!

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > MGANGA hajigangi! Licha ya kuwa msanii mahiri anayeelimisha jamii jinsi ya kugundua utapeli na kuepukana nao, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameibiwa ‘kupigwa’ vifaa vya saluni na vibaka.

Msanii mahiri Kulwa Kikumba ‘Dude’.
Akistorisha na mwanahabari wetu, Dude alisema juzikati vibaka hao walipanda kwenye dari na kukata ‘celling board’ kisha kuingia ndani ya saluni yake hiyo ya kike inayosimamiwa na mkewe, maeneo ya Jeti-Lumo, Dar na kukomba vifaa mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni tatu na laki saba.
“Ukweli nimechoka sasa kila siku wananirudisha nyuma kimaendeleo kwa kuniibia sijui nifanyeje maana imeshakuwa hatari kwangu, wamechukua TV, madela, redio aina ya sabuufa na vingine vidogovidogo,” alisema Dude ambaye mwaka 2012 na 2013 aliwahi kulizwa vifaa mbalimbali vya nyumbani.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top