Habari Kali
Loading...

BAADA TRAFIKI FEKI ALIYENASWA TABATA:HIVI NDIVYO MWANAJESHI FEKI ALIVYOKAMATWA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Screen Shot 2014-04-18 at 3.19.52 PMScreen Shot 2014-04-18 at 3.20.16 PMIliwahi kutokea Tabata Dar es salaam akakamatwa askari feki wa usalama barabarani ambae ni mzee aelikua anavalia sare na madereva walikua wanajua kweli huyu ni askari na faini na rushwa akawa anazilamba kama kawaida.
Stori nyingine kwenye headlines sasa hivi ni za Mwanajeshi feki nchini Kenya ambapo kituo cha TV cha K24 ndio kimeripoti hii stori kwa kusema jamaa alishtukiwa na Mwanajeshi halisi wa nchi hiyo.
Screen Shot 2014-04-18 at 3.05.12 PMHuyu jamaa mwenye umri wa miaka 23 alikamatwa wakati akiwa anasafiri, anaitwa Robert Mutuku na anakiri alipata hizi jezi za jeshi kutoka kwa rafiki yake ambae alikua anamtafutia kibarua jeshini.
Akiwa tayari anashikiliwa na polisi, Mutuku ambae pia alikua na kitambulisho feki cha jeshi amekaririwa akisema ‘ni kazi nilikua naitaka ndio maana niliomba hizi nguo kwa sababu naipenda hii kazi’


BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top