Habari Kali
Loading...

Aunt Alikumbuka Penzi la KANUMBA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > Msanii Aunt Ezekiel ameibuka na kusema kuwa kipaji cha marehemu Kanumba si kwenye filamu peke yake bali alikuwa balaa hata kwenye mapenzi.
Akizungumza na mtandao mmoja wa nchini Kenya ambao ulitaka msanii huyo kuelezea baadhi ya picha zake na Marehemu ambazo zinaashiria kama walikuwa ni zaidi ya  kazi ambapo msanii huyo alisema” Unajua Marehemu Kanumba alikuwa na vipaji vingi sana hata kwenye mapenzi alikuwa balaa ingawa sikuwahi kutembea nae isipokuwa nilikuwa nakabiliwa na wakati mgumu kipindi nikiigiza nae kwenye sini za mapenzi cha moto nilikuwa nakiona” Alisema msanii huyo

kanumbaAunt

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top