![]() |
Zaidi
ya watu 300 bado hawajapatikana baada ya meli kubwa iliyobeba watu 459
kuzama huko South Korea ambapo sehemu kubwa ya watu waliokuwemo kwenye
meli hiyo ni wanafunzi na walikuwa wanasafiri kutoka kwenye bandari ya
Incheon kwenda kwenye kisiwa cha Jeju.Watu watatu wamesharipotiwa
kufariki licha ya watu zaidi ya 300 kutoonekana na 13 wametolewa kama
majeruhi huku uokoaji zikiendelea ambapo hadi habari hii inawekwa
shughuli za uokoaji zinaendelea na watu wengi wanaokolewa kupitia
madirisha huku chanzo cha ajali kikiwa hakijajulikana.

Terrifying:
The South Korean ferry dangerously listed to one side while on its way
to Jeju island about 100km south of the Korean peninsula
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >