Habari Kali
Loading...

CHUCHU AZUA TIMBWILI BARABARANI

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Stori: Imelda Mtema
NI mkalia nyonga wa Vincent Kigosi ‘Ray’, Chuchu Hancy amezua timbwili la aina yake barabarani baada ya kukimbiza gari la msanii aitwaye Ester Kiama akijua ni gari la ‘bebi’ wake.
Baby wa Vincent Kigosi ‘Ray’, Chuchu Hancy.
Timbwili hilo lilitokea juzikati maeneo ya Kinondoni jijini Dar ambapo msichana huyo alikuwa akiendesha gari hilo aina ya Mark X nyeusi ambalo limefanana na la Ray, Chuchu alipoliona kwa mbali linaendeshwa na msichana, akaanza kulikimbiza.
Chanzo kilichoshuhudia ishu hiyo kimesema licha ya Chuchu kufanikiwa kulipata na ‘kuliziba’ kwa mbele gari hilo, aliumbuka pale alipolikagua na kugundua si la Ray.Alipoulizwa Chuchu na mwanahabari wetu kuhusu tukio hilo, alijibu kwa kifupi:
“Jamani naomba hilo sipendi kulizungumzia.”
JIUNGE NA SIMU DOKTA SASA UPA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top