Habari Kali
Loading...

Y-TONY AMWANIKA DEMU WAKE

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Stori: Musa Mateja
MBONGO Fleva anayesumbua na wimbo wa Masebene, Elly Michel Kilema ‘Y-Tony’ amevunja ukimya kwa kumwanika mpenzi wake wa ‘long time’, Asia Msemo.
Mbongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Masebene, Elly Michel Kilema ‘Y-Tony’ akiwa na bebi wake wa ‘long time’, Asia Msemo.
Tukio hilo la kumwanika kimwana wake alilifanya juzikati baada ya kutua ndani ya Ofisi za Global Publishers, Bamaga-Mwenge, Dar kutambulisha video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Shitobe.
Mkali ‘Y-Tony’ akipozi.
“Ujue ni wanaume wachache sana wanaoweza kutambulisha wapenzi wao kwenye video za nyimbo zao na kuthubutu kuanika wazi kama ana uhusiano naye, mimi sioni shida kumtaja Asia kama demu wangu maana nimetoka naye mbali na nimemtumia kama video queen katika wimbo wangu wa Shitobe,” alisema Y-Tony.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top